Kila fundi, mkononi mwako.

Suluhisho la
Fundi App & Ufundi.

Fundi App ni mfumo wa kisasa unaokuunganisha na mafundi bora, maduka ya vifaa, na huduma za dharura popote nchini Tanzania.

PAKUA APP
500+
App Preview

Kwanini Fundi Wa Mafundi?

Native Experience

App imeundwa kwa Kotlin, ikitoa kasi ya ajabu na urahisi wa kutumia bila kukwama.

Offline Ready

Orodha ya mafundi inahifadhiwa ndani ya simu yako, hivyo unaweza kuitumia hata bila bando.

Direct Call

Ongea na fundi moja kwa moja. Hakuna kupoteza muda kwenye kutuma barua pepe.

Habari & Makala za Ufundi

Inayovuma kwenye Blog

Soma Zote

Je, upo tayari kuanza?

Jiunge na maelfu ya watumiaji wanaofurahia huduma bora ya ufundi nchini Tanzania kupitia simu zao.

V1.5.9 RELEASE