2026-08-05
Admin
Gari Kupata Moto (Overheating): Hatua za Kufanya Haraka
Overheating inasababishwa na mambo mengi, lakini gari likipata moto unapaswa kuchukua hatua za haraka sana ili kuzuia engine isipate 'seize' (kukwama):
Nini cha kufanya gari likipata moto:
1. Paki gari pembeni ya barabara salama na washa taa za dharura (hazards).
2. Zima engine mara moja. Baadhi ya watu huwasha heater ili kuvuta joto, lakini ni bora kuzima engine kabisa kama unaweza.
3. ONYO KALI: USIFUNGUE kifuniko cha radiator gari likiwa la moto sana! Maji ya moto sana yenye presha yanaweza kukurukia na kukuunguza vibaya sana. Subiri angalau dakika 30.
4. Kagua kama kuna upungufu wa maji (Coolant) kwenye chupa ya ziada (Expansion tank).
5. Angalia kama feni ya radiator inazunguka vizuri inapofikia joto fulani.
Vyanzo vya Matatizo:
Mara nyingi overheating husababishwa na radiator kuziba, feni kufeli, au thermostat kukwama. Pia kuvuja kwa bomba la maji (coolant leak) ni sababu kubwa.
Ikiwa umekwama barabarani, tumia huduma ya Emergency Rescue au Towing Service ndani ya Fundi App kupata msaada wa haraka wa kitalaamu.

Video ya Maelezo
Unahitaji Fundi au Scanner ya Haraka?
Usiendelee kupoteza muda. Fundi App inakuunganisha na mafundi wenye vifaa vya kisasa karibu nawe popote ulipo Tanzania.
PAKUA FUNDI APP SASAFREE DOWNLOAD • 8.8MB • APK