2026-08-11
Fundi Issa
Kubadilisha Kichujio cha Mafuta (Fuel Filter)
Utangulizi: Fuel filter inakamata uchafu na kutu kutoka kwenye tanki kabla havijafika kwenye injini. Kichujio kilichoziba hupunguza nguvu ya injini. Vifaa vinavyohitajika:
1. Punguza shinikizo la mafuta kwa kutoa fuse ya 'fuel pump' na kuwasha gari mpaka lizime lenyewe.
2. Tafuta kichujio (mara nyingi kiko chini ya gari karibu na tanki au ndani ya chumba cha injini).
3. Fungua klipu au nati zinazoshikilia mabomba ya mafuta kwenye kichujio.
4. Kuwa tayari na kitambaa maana mafuta yaliyobaki kwenye bomba yatamwagika.
5. Ondoa kichujio cha zamani na uweke kipya. Muhimu: Hakikisha mshale wa 'Flow' kwenye kichujio enaelekea kwenye injini.
6. Funga klipu zote vizuri.
7. Rudishia fuse na uwashe gari. Inaweza kuchukua muda kidogo kuwaka mpaka hewa itoke kwenye mfumo.
8. Ukikagua uvujaji baada ya kuwasha, utakuwa umekamilisha kazi.
- Kichujio kipya cha mafuta
- Seti ya socket au spana
- Vitambaa (mafuta yatamwagika kidogo)
- Chombo cha kukusanyia mafuta
1. Punguza shinikizo la mafuta kwa kutoa fuse ya 'fuel pump' na kuwasha gari mpaka lizime lenyewe.
2. Tafuta kichujio (mara nyingi kiko chini ya gari karibu na tanki au ndani ya chumba cha injini).
3. Fungua klipu au nati zinazoshikilia mabomba ya mafuta kwenye kichujio.
4. Kuwa tayari na kitambaa maana mafuta yaliyobaki kwenye bomba yatamwagika.
5. Ondoa kichujio cha zamani na uweke kipya. Muhimu: Hakikisha mshale wa 'Flow' kwenye kichujio enaelekea kwenye injini.
6. Funga klipu zote vizuri.
7. Rudishia fuse na uwashe gari. Inaweza kuchukua muda kidogo kuwaka mpaka hewa itoke kwenye mfumo.
8. Ukikagua uvujaji baada ya kuwasha, utakuwa umekamilisha kazi.
Unahitaji Fundi au Scanner ya Haraka?
Usiendelee kupoteza muda. Fundi App inakuunganisha na mafundi wenye vifaa vya kisasa karibu nawe popote ulipo Tanzania.
PAKUA FUNDI APP SASAFREE DOWNLOAD • 8.8MB • APK