2026-08-11
Fundi Issa
Kusafisha Sensor ya Oksijeni (O2 Sensor)
Utangulizi: Sensor ya oksijeni inapima kiasi cha oksijeni kwenye moshi ili injini ijue kiasi cha mafuta cha kutumia. Ikichafuka na kaboni, gari litatumia mafuta mengi. Vifaa vinavyohitajika:
1. Tafuta sensor kwenye bomba la exhaust. Nyunyizia WD-40 ili kulegeza kutu.
2. Fungua sensor kwa kutumia spana maalum ya O2 sensor.
3. Ikiwa sensor ina rangi nyeusi sana ya kaboni, loweka ncha yake kwenye petroli au dawa ya kusafishia kwa saa chache.
4. Sugua kaboni iliyobaki kwa brashi ya waya kwa umakini sana. Usiharibu matundu madogo.
5. Kausha sensor vizuri na uirudishe mahali pake.
6. Futa alama ya kosa (fault code) kwa kutumia OBD2 scanner au kwa kutoa betri kwa dakika chache (kumbuka hii itafuta pia radio presets).
7. Ikiwa taa ya 'Check Engine' inarudi tena, basi sensor emeshakufa na inahitaji kubadilishwa. Usafi huu unaweza kukuokoa pesa nyingi na kuboresha 'fuel economy'.
- O2 sensor socket (spana maalum)
- WD-40
- Brashi ya waya laini
- Petroli au dawa ya kusafishia breki
1. Tafuta sensor kwenye bomba la exhaust. Nyunyizia WD-40 ili kulegeza kutu.
2. Fungua sensor kwa kutumia spana maalum ya O2 sensor.
3. Ikiwa sensor ina rangi nyeusi sana ya kaboni, loweka ncha yake kwenye petroli au dawa ya kusafishia kwa saa chache.
4. Sugua kaboni iliyobaki kwa brashi ya waya kwa umakini sana. Usiharibu matundu madogo.
5. Kausha sensor vizuri na uirudishe mahali pake.
6. Futa alama ya kosa (fault code) kwa kutumia OBD2 scanner au kwa kutoa betri kwa dakika chache (kumbuka hii itafuta pia radio presets).
7. Ikiwa taa ya 'Check Engine' inarudi tena, basi sensor emeshakufa na inahitaji kubadilishwa. Usafi huu unaweza kukuokoa pesa nyingi na kuboresha 'fuel economy'.
Unahitaji Fundi au Scanner ya Haraka?
Usiendelee kupoteza muda. Fundi App inakuunganisha na mafundi wenye vifaa vya kisasa karibu nawe popote ulipo Tanzania.
PAKUA FUNDI APP SASAFREE DOWNLOAD • 8.8MB • APK